hapana bro mm siko hapa kumkomoa mtu wala kuikomoa nchi yoyote, naona munanitafsiri vibayaMwenyewe anadhani anaikomoa Tanzania. πππ
Sisi sio wajinga.hapana bro mm siko hapa kumkomoa mtu wala kuikomoa nchi yoyote, naona munanitafsiri vibaya
sawa kaka kama kuna sehem nimekukosea unisanehe sana ila mm sina ubaya na mtu yoyoteSisi sio wajinga.
Mabadiliko gani makubwa.? Affordable homes.?kisumu nilienda last time kama 3 yrs or 4 yrs ago ila nimeona mabadiliko makubwa sana ππ»ππ»ππ»ππ» bro ruto kajitahidi sana