Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

atleast wana mwanga mzuri tofaut na uchawa

Icho, kuna tofauti kati ya "nchi" na "watu".
Nchi haina baya, ni watu ndio wenye hila.
Watu hawa wanaweza kuwa watawala na machawa.

Chuki ama hasira zako elekeza mahala husika.

atleast wana mwanga mzuri

Kenya si taifa
Kenya ni eneo la kijografia lenye mkusanyiko wa viumbe hai.
Hakuna mtu mwenye njaa akawa na nuru.
 
sina hasira kabisa isipokua nimekataa kua chawa zipo dhambi mtu unaeza kuepuka moja wapo ni uchawa, siwezi fanya dhambi hii bro, sina chuki wala hasira na yoyote isipokua siwezi kushiriki dhulma ya kua chawa kwenye maisha yangu
 
Nchi haina baya.
walenge wenye dhulma, ambao ni wanadamu.
 
😂😂😂😂😂😂😂 tuachane na hii mada
Uzalendo bro,nchi kwanza viongozi baadae,hawa kunyan wa humu sidhani kama wote wanaunga mkono serikali yao,ila kwenye international forum kama hizi awaleti negative zao,kwenye forum zao za ndani ndio wataongea mabaya,uzalendo unakua mbele always
 
mm ni mzalendo sana na hakuna asienijua humu ndani mm nimiongoni mwa watu top 3 tulioanzisha hii group na tukaipambania ila kwa sasa siwezi kua chawa dhambi hii mbaya mm siiwezi bro trust me, uchawa kwangu ni zaidi ya cancer stage 5
 
ruto is very smart 👍👍👍

IMG_3716.jpeg
IMG_3717.jpeg
IMG_3718.jpeg
IMG_3719.jpeg
 
Back
Top Bottom