Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

saadeque thanks for keeping them busy for me
Waambie bakora walioipata wote walisambaa hahhhhaha unafanya mchezo na bongo walibakia kujichanganya hawaaamini maana kila jengo linalokuja ni motoooo na hapo hatujamaliza ndio tulikua tunaanza na hatoki mtu humu ndani game linaendelea kaz ni kaz
 
Bakora wakati wamebakia kujinyea wamerudia majengo mawili ulikua ushayapost mwanzo ahhahahaha walikua wanajichanganya hii ndio bongo niliwaambia mm 2017 hahahahah
Kwa jinsi walivyo wajinga,wanadhani hii ni dar ya 90s.

binafsi nalifahamu jiji la nairobi na vitongoji vyake kwa mapana mno.

wakati kimuonekano majengo yetu mengi ni ya mtindo wa kisasa, yao mengi ni ya kizamani.

nafurahi mnavo wanyima usingizi.
 
Si wewe ndiye umesema tunapost 20 floors and above?
Nani alisema onesha nilikwambia hatujamaliza 20 watulie mm nilikua napost hizo kwasababu zilikua karibu ninazo so hio golden tulip 23 floors mumeekewa munajinyea jibuni sasa tuendelee
 
Kwa jinsi walivyo wajinga,wanadhani hii ni dar ya 90s.

binafsi nalifahamu jiji la nairobi na vitongoji vyake kwa mapana mno.

wakati kimuonekano majengo yetu mengi ni ya mtindo wa kisasa, yao mengi ni ya kizamani.

nafurahi mnavo wanyima usingizi.
Hahahahhahhaa jana tuliwawashia moto wote walisambaa hahaha wamebakia kurudia majengo ya uchumi na nssf za kwao hahahahahhahaha tukawaambia zimerudiwa wakakataa tukawaonesha link hao wakakimbia mdogo mdogoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Na tukimaliza hapa tunaanza under construction towers ili tuelewane vzr
 
Dar kuna 10 buildings with over 20+ floors.
Sioni Haja ya kubishana hapa.
 
gani iko above 20 apa.....izo zote ni 18 kushuka.unadanganya umma kijana.dar imeishiwa
 
zikiisha izo za nai dar above 20,tunaenda msa mwanza above 20
 
Dar kuna 10 buildings with over 20+ floors.
Sioni Haja ya kubishana hapa.
Hahaha. Nadhani inaenda unabadili. Mwanzoni ulisema matatu tu sasa hivi unasema kumi. Utaelewa tu.
 
gani iko above 20 apa.....izo zote ni 18 kushuka.unadanganya umma kijana.dar imeishiwa
twende kazi 23 fl golden tulip ushaekewa jibu tuendelee hahahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaha. Nadhani inaenda unabadili. Mwanzoni ulisema matatu tu sasa hivi unasema kumi. Utaelewa tu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ashaelewa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…