Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

picha ya treni ndio source yako ya umaskini au facts πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

au uchumi wa nchi unapimwa na picha ya treni, bro siamini kama ww ndio unaongea haya
 
kwani tunaongea uongo **** matajiri wanaamua chochote, hzo
policies ziko wapi na zinafanya kazi gani, ikiwa cha kinaazisha mchango na matajiri ndio wanaochangia unategemea nn after that? socialism kwenye hii nchi iko asilimia 15% zilizobakia zote ni capitalism
 
Haiwezi potea EACOP imekaa kimkakati zaidi πŸ”₯
 
Capitalism itoke wap bongo, ungekuta tushalia bil 50 kuwaleta manu waje wafungwe kwenye uwanja wetu mpya, kwakua upo kwenye ndoa tukuache kwanza usije toka bila kujifungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…