El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Haha kijana kua mpole,nadhan kajichanganya so usitafute slope ili uteleze bure.....uku nyumba ziko kila angle ni ngumu kupost zote....
hua nashangaa kwann mnadata na ivyo vibanda mnavyoviita estate ....uku unapata nyumba kulingana na mahitahi yako
leta estates jinga hii

