Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unajua Tangu nchi ipate uhuru ni kipindi ambacho TZ inatengenezwa sana.?
inatengenezwa nn ikiwa 2021 march deni la taifa lilikua 59 trillion leo 2026 deni la taifa liko over 110 trillion, haya tuambie hio nchi umejenga nn kiasi cha deni la taifa kuongezeka kwa over 51 trillion huku nchi inakusanya kodi, inauza madini mpaka reserve za madini BOT, nchi inakusanya fedha za watalii, haya wewe nielezee tumejenga nn zaidi ya awamu zilizopita
 
Hapo nilipo bold uko sahihi na japa huyu maza alipuyanga sana.
 
Ni kweli pigo ila ni bora kutokua nayo kuliko iwepo halafu kuwepo na mshirika atakayenufaika bila jasho,hivi ingekua burundi ndio ije kivile kama walivyokuja mungiki ww binafsi ungekubali?
 
Ukiangalia hawa mabinti wote ni weusi,
Tofauti inaanza kuonekana kwenye ngozi, na makuzi, Hardlife,
Unaona kabisa binti mmoja ana ngozi angavu, yenye Nuru, yenye afya, ikiashiria unafuu mkubwa wa maisha, ngozi iko well nourished, binti amepata optimal nutrition from her infancy to her adolescence.
Hii ya Kenya sasa. Binti amelishwa donkey milk during her infancy, then weaned with sima and githeri, the skin has gone through a lot already.
Maisha yetu ya ulimwengu wa tatu ni magumu hakika, yaani kuzaliwa tu Kenya tayari unapambana na handicap
By the way, Hii game imeishaje Kwani ? Apparently Kunya pamoja na kuwa na sura za kazi wanagawa sana utamu huko.


.
 
So Kenya ndio hakuna ardhi kubwa na bandari? You are reasoning like someone who has smocked bang already.
Maku kikubwa jengeni refinery yenu,EACOP hata mje kwa matako ule mradi amuingii,bila aibu mnatangaza refinery ya tanga ikiwa hamna mtakachotoa,jengeni huko lamu then mkawaulize wanigeria baada ya refinery ya dangote mafuta kwao yamekua cheap kwa kiasi gani before hiyo refinery
 
Bro kumbe mafuta ni ya total na CNOOC,ile refinery ya dangote tanga inayolalamikiwa tumekosa opportunity,ingesafisha crude oil ya kutoka wapi 😃😃,mimi yote but wakunya hawapo EACOP nimefurahi,awakua na cha kuoffer kwenye ile refinery,nawatakia kila la heri huko lamu 😃😃
 
Kwan EACOP imeanza lini na dangote kaanza pumba zake lini, alafu total na dangote nan anajua zaidi kuhusu bishara ya mafuta na nan anategeneza ela chafu zaidi ya mwenzake, tukianza apo nigeria tu serikali imerudi kuimport petrol na wana dangote mzawa 😂😂😂😂😂😂
 
ukizaliwa mathare tayar ushapigwa 4 nill 🤣 just imagine someone having football hopes in unranked league 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…