Usiongee kama mpumbavu hiyo rebase tulifanya lini mara ya mwisho? na pia unajua maana ya rebase ina take into account vitu gani au unafikiri ni kubadilisha numbers tuuThey sensed Uganda wangewapita ikabidi wafanye rebase. I give them 2yrs maximum and Uganda will pass them😂
Shughulika na Ebola kwanza😂Sijaona mtu yeyote akishare Arusha stadium outside East Africa. 🤣 🤣 🤣
uchumi mkubwa kutoka wap?Una uchumi mkubwa shule zimechoka watoto wanakufa njaa nisawa na Moo, Bakhresa, au GSM watoto wao wafe kwa njaa ndiyo Kenya sasa
Umesema nishugulike na Mgonjwa matapiko?Shughulika na Ebola kwanza😂
Uongo gani yet it's known Tanzania did rebase lakini bado wakashindwa kufikisha $100B mark😂😂Lie to yourself.
Iko wapi? Wewe tunakujua na uongo.😂😂😂Mpaka CNN wameshaurusha huo uwanja kwenye Global travel showcase.
It's very sad that hujui kama mlifanya rebasing.😂😂🤣Usiongee kama mpumbavu hiyo rebase tulifanya lini mara ya mwisho? na pia unajua maana ya rebase ina take into account vitu gani au unafikiri ni kubadilisha numbers tuu
Haha itafikia malaba when ? SISI tayari Kuna contractor site pande zote, singida to tabora clearance na kifusi tayari kimeshajazwa tuta almost 17 percent of completion.
Haya mwenzetu tuambie percent of completion ya malaba - naivasha mpk sasa
Over 3000 km over 4 lots U/C at a go! unafikiri huisha over night!
Nyie Naivasha-Malaba imeisha?
amueni sasa mnasubiria nn 🤣 🤣 🤣 🤣 BTW those are stupid activists, they always end up with wajinga wenzao kenya
Mwaiofhawaii hebu tupe data za leo kuhusu ebola 😭