Ata hio futuboli is nowhere ata apa Africa,Futubolingi neshen.ππ
Hii ni Isiolo!π
Hii tulishaijadili mwaka 2025. Data hizo zilikusanywa 2024.MIKOA 26 YA TANZANIA BARA KWA UKUBWA WA UCHUMI (GDP) MWAKA 2025
Kwa mujibu wa takwimu za NBS, hii ndiyo orodha ya mikoa kuanzia GDP kubwa hadi ndogo.Mliokua mnaulizia mikoa yenu,angaria hapo
1. Dar es Salaam β TSh trilioni 39.81
2. Mwanza β TSh trilioni 16.75
3. Mbeya β TSh trilioni 13.0
4. Morogoro β TSh trilioni 11.41
5. Arusha β TSh trilioni 11.10
6. Tanga β TSh trilioni 10.86
7. Geita β TSh trilioni 10.50
8. Kilimanjaro β TSh trilioni 10.49
9. Tabora β TSh trilioni 8.67
10. Mara β TSh trilioni 8.63
11. Shinyanga β TSh trilioni 8.44
12. Ruvuma β TSh trilioni 8.44
13. Manyara β TSh trilioni 7.83
14. Iringa β TSh trilioni 7.33
15. Dodoma β TSh trilioni 7.17
16. Kigoma β TSh trilioni 6.34
17. Mtwara β TSh trilioni 6.34
18. Kagera β TSh trilioni 6.15
19. Rukwa β TSh trilioni 5.02
20. Pwani β TSh trilioni 4.75
21. Lindi β TSh trilioni 4.60
22. Singida β TSh trilioni 4.43
23. Songwe β TSh trilioni 4.37
24. Njombe β TSh trilioni 4.34
25. Simiyu β TSh trilioni 4.23
26. Katavi β TSh trilioni 3.19
#Source# NBS# GDP2025 #Uchumi #NBS
My Take
Wale wa Tanga tupisheni Mbeya kwanza nyie endeleeni kukua kwanza.
Hizi ni data za 2025 ndio maana zinatolewa 2026.Hii tulishaijadili mwaka 2025. Data hizo zilikusanywa 2024.
Weka linkHizi ni data za 2025 ndio maana zinatolewa 2026.
Za mwaka 2024 zipo
Mzee ingia tovuti ya NBS utaona pale Tanzania in figures za miaka yote Hadi 2025.Weka link
Kuweka link umeshindwa? Maana nimeingia NBS zijaona data hizoMzee ingia tovuti ya NBS utaona pale Tanzania in figures za miaka yote Hadi 2025.
Kuweka link umeshindwa? Maana nimeingia NBS zijaona data hizo
Wewe ni mfupi. Si umepost hapa picha yako juzi dem fulani mdoogo na bado amekushinda urefu? Alafu usijifanye hujaona hii. Ulileta story za kuingia stadium alafu baadaye unaanza kulia eti wengine wanakuwa personal kwenye mijadala na wanafurahishwa na vitu vya kipuuzi kama kuingia stadium wakati ni wewe uliona kuingia stadium ni kitu cha maana hadi ukaitisha picha kuprove Nairobiwalker ameingia stadium.You are assuming naeza kuwa mfupi.? πππ
Kwanini nikutake wewe dem mbovu from kunya then.?
Aren't you the one who brought the kuingia stadium stories mbilikimo?
Nilichokuambia kuwa zilikusanywa 2024 ndicho ulichokiweka. Asante kwa kukubali kiaina....
hi ni world class bana π π πWapi hii Talanta international stadium? My God!
Yaani data zikusanywe 2024 ndio zitolewe 2026? Hizi data zimekusanywa 2025 ndio maana zimetolewa 2026 ππNilichokuambia kuwa zilikusanywa 2024 ndicho ulichokiweka. Asante kwa kukubali kiaina