Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani MGR ya Tanzania uifananishe na SGR ya kenya?
Unaonekana unaongea hata usichokijua. Unajua muundo wa reli ya SGR ya Kenya!? Achana na locomotives kwanza. Kenya reli yao ya SGR ni jointed rail. Yani kila pingili imejiachia. Muundo huu wa reli husababisha mtikisiko sana wa treni inapotembea hivyo kasi inakua ndogo na hakuna comfortability. Reli ya TAZARA uliyoipost ndio ipo hivyo muundo wake. TRC reli ya Kati ni continous welded ya kisasa kuliko SGR ya Kenya.
Unaongea ufala hapa ilhali huna unachojua.
 
🖕

Kwa mnyamani, vingunguti, buguruni yooote kuna miundombinu gani?

Kwa mnyamani na vingunguti kuna mfumo wa maji taka we Lofa? Ile harufu kalii ukitoka airport hutoka wapi?
Vingunguti kuna maji taka yanayotiririka barabarani kama Kibera!? Kumbe naongea na FALA!?
Vingunguti kuna umeme,kuna barabara za mitaa,kuna mfumo wa maji safi ya matumizi. Je Kibera hivyo vitu vipo!??
View attachment 3688367View attachment 3688368
Hii ni Kibera affordable housing iko na 15k units
Pembezoni kule nyumba za mabati naziona. Na mind you nina demu Mtaita daily nachat naye akidai hizo affordable housing ni bei sana wakaazi wa slums hawawezi kumudu gharama. Bado slums zitakuwepo palepale.
 
Aren't you the one who brought the kuingia stadium stories mbilikimo?
 
Aren't you the one who brought the kuingia stadium stories mbilikimo?
Huyo huoni nimekubali ako young and stupid. He's overly sensitive and has a cringe low self esteem issue. He likes going personal on everything and when you respond to him, he gets overly sensitive almost crying and accuses you of going personal.🤣 🤣
 
Hilo jamaa ni teja la mirungi.

Achana nalo.

Hakuna kitu litakuelewa
 
Mimi siezi sumbuliwa na mshamba kama wewe, you can’t even speak proper English nor Swahili. Stupid. 😂😂😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…