babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,441
- 36,072
waanzie wap, si unaona ni vijana wa jua kali ndo wamepewa kazi π π π π kwanza kocha wao uku analia tuWamelipa deni?
Itakuwa mtu alimhadithia ila hakumpa taarifa sahihi.Ruto hubeba Wakenya ufala ati maziwa ya buffalo!
Hii ni TURKANA
sema tu north kenya wote wana hali mojaHii ni TURKANA
Fumba stadium wameshaanza kuweka viti. Halafu vyote ni foldable.
View: https://vt.tiktok.com/ZSbcXN3wb/.