remember the last time nakwambia CAF wamesema huu uwanja ukimbizwe 😂😂😂 BTW there is an ongoing conversation to make AKIBUA an official stadium for the matches![]()
Affordable housing moja tosha dawa.. overdose hataNjedengwa dodoma. Mradi unaitwa Njedemgwa view valley una blocks 11 zenye 10 floors each .. View attachment 3685876View attachment 3685878Phase 1 iko na 6 upcoming buildings.. progress 👇🏾View attachment 3685879View attachment 3685880
Mbilikimo buildings like these ones tunajenga smaller cities, sio capital city.Final touches za 711 kawe View attachment 3685887View attachment 3685888mradi ulichukua muda mrefu, lakini glad umekamilika.
vp sasa ile picha ulisema cowshed ya ngong ina foldable uwanja mzima
😂 😂 😂 unatia huruma, si ulisema wewe stadium yao nzima ina foldable seats, tunakusubiria ulete hio pichaView attachment 3686364
Hii ya hapa ngong flyover with 3 roads going and 3 coming
Vipi nyinyi mna Kimara hadi Mpakani tu au mna nyingine ni 3 way? 😆😆
wacha wee, whats else 😂😂😂Tanzania has the poorest people hadi wana TASAF
Unadhani ni sawa na bakuli na olympic la benjamin mkapa very ugly stadium😂 😂 😂 unatia huruma, si ulisema wewe stadium yao nzima ina foldable seats, tunakusubiria ulete hio picha
ndo maaana wanaitwa 3rd city because they cant have such hotelsMuache kupressure wenzetu na Nairobi
Apa ata kufika maendeleo ya Third tier cities ni ngumu View attachment 3686360View attachment 3686361View attachment 3686362View attachment 3686363
Hivi wewe sii mpiga kelele wa mtandaoni Mr.?Hao wapiga kelele wa mitandaoni,kila kitu wanaleta siasa,ielewe siasa ya TZ mpinzani anapinga kila kitu na kuchukia kila kinachofanywa na chama kilichopo madarakani
mbna unaongea kwa huruma, kwan ulivokuja na mbwembwe apa si tulikua tunakuskiliza, sisi tunataka utuonyeshe hio stadium ikiwa na seats zote zikiwa foldableUnadhani ni sawa na bakuli na olympic la benjamin mkapa very ugly stadium
Naskia wanasema ni WOLDI KLASI lakini bila filter hauendi 😂😂😂Naona unataka kupotezea usingizi stakehigh
sasa wana shida gan? kwan wana njaa kama wa kwenu 😂😂😂😂😂