Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

stakehigh ile expressway yenu ilifikia wapi?ama ilikua ndoto?
1791389078602.png
 
Ule wa Dodoma mbona wakiongeza manpower wanatoboa?

Dodoma wameongeza manpower na speed tayari . Ila ni baada ya mafala hao kuleta umasikini wao.

Kwa namna Dodoma wameongeza mitambo pale in between December and February next year uwanja utakuwa tayari kwa matumizi. Katika viwango vya kidunia CAF na FIFA.
 
hakuna kujifariji apa...mwendo ni wa kusema na kutenda..lile experessway yenyu ilifikia wapi?alafu SGR tangu enzi za mapadlock mumeshindwa kumaliza...ni miaka ngapi tangu SGR ianze ?
sasa si bora mapadlock, wengine wana 10 years na distance yenyewe ni arusha na moshi 😂😂😂
 
Back
Top Bottom