stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,071
- 39,127
Nairobi lazima uende kibera ndo wabebe watu wengi ivoKundurenda kila kitu ni naipori sisi hapo ni Chuga wao hakuna sehemu inayoweza kubeba watu wengi kama hivyo kama sio naipori tena viongozi
Kuna watu watafikiria hii iko CBDHii barabara hapa inaelekea Wamunyoro village.
View attachment 3685481
kwan kuna mtu umu ndan haijui kenya? 😂😂😂Kuna watu watafikiria hii iko CBD
Huko Kwao wangeandika 150km from CBD.😂😂Kuna watu watafikiria hii iko CBD