Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

what can I say, use the language you are most conversant with...Kiswahili huwa tunajaribu ili kuelewana nanyi LDC haswaa kwasababu tukiamua ni kuandika Kiingereza kama kule Quora na Twitter mtabaki mmezubaa na kutunduwaaπŸ˜€πŸ˜€
Hakuna aliewah waomba mtumie kisw ,
The fact is everyone Is trying to use them both, Mlijifunza kisw japo hamkitumii sana ofcz mnaongea zaidi mother tongue kuliko kisw /English,
ur making so terrible kisw in here!!
Kwa uelewa wangu tu wa kawaida humu kwenye huu uzi wengi mlisoma hadi vyuo vikuu sion aibu ya kumkosoa mtu au aibu ya kukosolewa nikikosea
 

Nyumba kama hii ingekuepo Bungoma nnauhakika ungefunguliwa Uzi, wakinadi ni One of the best house in east Africa
 
Wewe kwani kiswahili ni chenu
 
Wewe sikulaumu. Thus why you use YouTube as your search engine instead of Google. Nie ndowatu mliotoka ushago nakujifanya Nairobi mnaijua kuliko wenyeji.
Kwa hivyo unajaribu kusema wewe ni mwenyeji wa Nairobi? peleka uLDC mbali kijana
 
Lol! A Tanzanian telling a kenyan that he (the Kenyan) needs education. Am I the only one who finds this funny? Who between the two should advice the other on matters education? Kama kuna kitu mimi hudharau hii dunia ni education system ya Tanzania. Tanzania hata nipate scholarship siwezi soma huko. Remove the log in your eyes before attempting to remove the peck in your neighbour's eye.
 
Taarifa ya mwaka jana umeikwamilia 2018 wakati mambo yamebadilika in favor of Kenya. Hakuna cha bure hii dunia kupe nyinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…