Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pipeline gani ya ushabiki wa nchi LDC ya Tz ya kutupwa?Dar is slum yenyewe kinyesi CBD,ufuska na yote ya kuchusha.
4b usd imekuumeni sana bado uganda SGR mwaka huu tuna nyie tu hatuwaachi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ rwanda tushamalizana nae bado uganda tufunge ukurasa sasa
 
Jitahidi uandike kisw ueleweke,inakaa pikipiki what is that mean?smh
what is that mean...lol! nyani haoni kundule kweli๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€unakosoana kwa kuzungumza uchafu nawe unaongea uchafu pia...
 
what is that mean...lol! nyani haoni kundule kweli๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€unakosoana kwa kuzungumza uchafu nawe unaongea uchafu pia...
Bila bila..what is that suppose to mean is hisani ya mwalimu
 
Pipeline gani ya ushabiki wa nchi LDC ya Tz ya kutupwa?Dar is slum yenyewe kinyesi CBD,ufuska na yote ya kuchusha.
Maneno yamkosaji ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tulivyochukua bomba hayo yote tuliyatarajia
 
Maumivu yakizidi, muone dkt๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€If symptoms persist, seek medical advice
Oil pipe ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Tumewapokanya Tonge mdomoni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tonge lilikua lenu [emoji12]
 
fundisho kuu...usimkosoe mgonjwa ilhali wewe hapo pia unaangamizwa na maradhi
Seriously? I'm pretty sure that you've been making alot of common mistake in English as well,But kwa kiswahili mmezidi most of you mnazingua bana
 

This is false in so many measure. Gambia, Comoros, Malawi, Senegal, Uganda, Swaziland, mi nimeenda Swaziland mara nyingi sana na pia nilikua na girlfriend wa Swaziland anaitwa Duduzile Vilakazi, napajua vizuri sana. Hivi vinchi vyote ni sawa na Mkoa wa Kilimanjaro na in terms of infrastructure Kilimanjaro as a region ni mara 100% better.
 
Kumbe walitudanganya Buda njoo uone ulongo yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Seriously? I'm pretty sure that you've been making alot of common mistake in English as well,But kwa kiswahili mmezidi most of you mnazingua bana
what can I say, use the language you are most conversant with...Kiswahili huwa tunajaribu ili kuelewana nanyi LDC haswaa kwasababu tukiamua ni kuandika Kiingereza kama kule Quora na Twitter mtabaki mmezubaa na kutunduwaa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Oil pipe ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Tumewapokanya Tonge mdomoni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tonge lilikua lenu [emoji12]
pipeline tunajenga pia bana...mafuta yetu lazima tuanze kuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ