haya maneno yamlifanya awe uncomfortable sana 🤣🤣🤣 now kenya has provide the 30% 🤣🤣🤣 na investors wakiskia hadi crude source kajitoa 🤣🤣🤣🤣 sjui lakini wasije kulia bure wakina mwaiofhawaii
ingekua mm ni wewe saaahv ningekua nalia 🤣🤣🤣🤣🤣 yaani umenyolewa ndan ya event 🤣🤣 unamualika mtu alafu anakukataa mbele ya investor 🤣🤣 we unadhan investor anajiskiaje na alikua ashapigia mahesabu ya ugandaLeo tumewanyoa bila Maji 🤣🤣🤣
Wewe unajali kwanini.Kwani ni nani alisema atauza hisa za asilimia 30? Ndio nauliza hadi Sasa ameshauza ngapi?
sasa nan atawajengea tena JKIAStop projecting much 🤣🤣🤣🤣
Priority tena 🤣🤣🤣🤣Wewe unajali kwanini.
30% ikiwekwa kwa soko, the only thing EAC wanapewa ni priority.
Lakini haimaanishi wengine watafungiwa. Pesa ni pesa.
Soko la Kenya pekee yake itanunua zote kama zitabaki.
Hii ni Isdingo kaka, itaisha tukishafariki, nadhani watakuja wengine pia kuindeleza, mana walioinzisha wenyewe hawapoHii battle mbona haiishi
Babu jinga refinery tanga itajengwa,uwa hatuna papara,kwanza advantage kubwa mafuta ya uganda yanapita kwetu,nyie ni looserLeo tumewanyoa bila Maji 🤣🤣🤣
Babu mu7 leo alikua anaharibu tu 😃haya maneno yamlifanya awe uncomfortable sana 🤣🤣🤣 now kenya has provide the 30% 🤣🤣🤣 na investors wakiskia hadi crude source kajitoa 🤣🤣🤣🤣 sjui lakini wasije kulia bure wakina mwaiofhawaii
ALAFU alikua ananyoosha maelezoBabu mu7 leo alikua anaharibu tu 😃