sina source kwan ulikua unareply nn? 🤣🤣🤣 au kuna terrorist mwingine kapata free passport tena 🤣🤣🤣🤣In short huna souce 🤣🤣🤣
Source kwa vijana wanaoeneza uongo na kutaka kuleta taharuki Nchini. Kila mtu anawajua hao wanalipwa kuichafua TanzaniaNo responsibility at all.
Ndio maana haitawahi kubadilika.
Wenzako wanauliwa kila siku ila your best response ni “propaganda” wueh! You guys have a long way to go.
Ndio hii propaganda ingine
View: https://x.com/siasamaisha2030/status/2101712437288534407?s=46
This happens everywhere in Nairobi hata juzi nilipita Lavington; raw sewage inatiririka kwenye river nadhani hawana sewage system ya kutosha ama wamekula hela waka justify na numbers kwenye karatasi, as usually the case na stats zao kwenye kila domain.
Dodoma CBD to Magufuli City alone ni 23km hapo utakuwa umetoka nje ya Naipori muda mrefu sana. Dodoma is a modern city usifananishe na miji ya kijinga kama naiporiSize ya Nairobi City ni ndogo sana. Inafanana na Dodoma kwa huku Tanzania
Nairobi City ni 696km² na Dodoma City ni 625km². Tofauti si kubwa sana ndio maana hao wananchi wanatembea kwa miguu.
Imagine kutoka Kibera slums hadi CBD ni 7km, na Wakenya walivyo masikini huu umbali wanatembea tu kwenda na kurudi kuliko kupanda BRT. Oops, nilisahau nchi nzima hakuna BRT 😂😂
Kama comeback yako ni kupost post za paid activists ili ushindane na stakehigh utaingia chaka sana.No responsibility at all.
Ndio maana haitawahi kubadilika.
Wenzako wanauliwa kila siku ila your best response ni “propaganda” wueh! You guys have a long way to go.
Ndio hii propaganda ingine
View: https://x.com/siasamaisha2030/status/2101712437288534407?s=46
Watu wanatembea kwa Mguu kwenda na kurudi Makazini,
Trying to Imagine this life in Dar , not even possible. Mtu utoke Kimara au Tegeta au Mbezi hadi Posta au Morocco kwa Mguu, Kwani Nairobi ni ndogo this much ?
Besides hawa watu wanaonekana wamechoka, wamepigwa na maisha , wamevaa mitumba. Hawana matumaini, wamepauka. Hard life.
View: https://vt.tiktok.com/ZSq382jQr/
These are coneheads in Kimara.Uko sahihi , kuna wakati miaka ya nyuma tulitembea toka Westlands hadi uhuru park, ni Kama 5km hivi , ni mbali kwa kutembea kwa mtu anaeenda kazini.
Hapa Dar CBD hadi Kimara tu you are talking of 20km na bado Kimara ni katikati ya Mji
Wengine wakipewa akili ulipanga laini ya choo 😂😂Dodoma CBD to Magufuli City alone ni 23km hapo utakuwa umetoka nje ya Naipori muda mrefu sana. Dodoma is a modern city usifananishe na miji ya kijinga kama naipori
Since 2008 you are talking about Tatu City. Lini itakamilika?Wengine wakipewa akili ulipanga laini ya choo 😂😂
The ugly walled Magufuli town was built in a bush. There is literally nothing in those 23kms separating it to Dodoma. Only scattered and isolated signs of life. 😂😂
Tatu City, which is part of Nairobi Metropolitan, is about the same 23km distance from CBD.
The only difference is that every inch of land between the two is developed.
Tatu City is 1000 times more valuable than that government city. How do you call something a city with literally ZERO private investment.
Konza City is 80KM from Nairobi CBD on the other side. You can barely find any vacant full acre between the two.
Caretaker you are swimming in waters beyond your training and thinking capacity.
Paper boundaries do not mean anything when an LDC is involved.
Dar vumbi and Dodoma being allocated big boundaries on maps only means you had more land to dish around than Kenya.
But what's the point of all that land if you've barely developed 2% of it?