Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hawa vibasi 90 tu wanalalamika , vipi kina abood wanaoshusha mpaka 100 kwa mwaka na hakuna vilio,
Yaan mtoto wa rais anafanya biashara ya mabasi badala viwanda 😭😭😭
eti wanataka kumkomoa, abood tupo nae toka miaka ile 🀣 🀣 🀣
 
Sasa hawa vibasi 90 tu wanalalamika , vipi kina abood wanaoshusha mpaka 100 kwa mwaka na hakuna vilio,
Yaan mtoto wa rais anafanya biashara ya mabasi badala viwanda 😭😭😭
Hapo wasahau kupata public transport ya maana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wanatembea kwa Mguu kwenda na kurudi Makazini,
Trying to Imagine this life in Dar , not even possible. Mtu utoke Kimara au Tegeta au Mbezi hadi Posta au Morocco kwa Mguu, Kwani Nairobi ni ndogo this much ?
Besides hawa watu wanaonekana wamechoka, wamepigwa na maisha , wamevaa mitumba. Hawana matumaini, wamepauka. Hard life.

View: https://vt.tiktok.com/ZSq382jQr/
 

Size ya Nairobi City ni ndogo sana. Inafanana na Dodoma kwa huku Tanzania
Nairobi City ni 696kmΒ² na Dodoma City ni 625kmΒ². Tofauti si kubwa sana ndio maana hao wananchi wanatembea kwa miguu.

Imagine kutoka Kibera slums hadi CBD ni 7km, na Wakenya walivyo masikini huu umbali wanatembea tu kwenda na kurudi kuliko kupanda BRT. Oops, nilisahau nchi nzima hakuna BRT πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…