Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


You're right. Tudor ndio ligi ya Upanga.
 
By the year 2040 haimaanishi kuwa mpaka 2040 inaweza kuwa 2030 pia!
Kaka soma hiyo posta vizuri usiingie kwenye upuuzi wa hiyo njaa kali ya uyo dogo mpauka uso.

Grand sultan hapo wameeleza bayana ndoto yao ya kumiliki 1,000 apartments by the year 2040.

Na sio kwamba eti hilo jengo litajengwa 2040. Kama huyo mwenye njaa na chuki anavyoeleza hapo. 😂😂. Grand sultan waneendelea kupost construction sites zao siku hadi siku kwa miradi waliyo propose this year.

Same as Mkuyu Africa developers .. though miradi ya Mkuyu ni kati ya 8 - 19 floors. Ambayo ipo masaki na kariakoo.
 
Sasa ungeishia wapi kama sio huku .?? 😂😂😂😂
Ati this thing is quoting me 🤣🤣😂😂🙌...Teargass did us good by exposing this images... thank God, imagine ningekua nasumbuka na bishana na hii kitu, i think this animal has down syndrome or somthing👇🤣🤣...
 
Na utoto huu niliokua nao nina hakika nilikua bora kuliko wewe wa sasa, kimavazi n everything, kama una guts weka picha zako za sasa tulinganishe na mimi wa utotoni. 😂😂😂

Kichapo ni kikali mpaka mnakimbilia personal attack. Mimi ndio baba enu wanuka mavi.
 
Siweki🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…