picha linaanza wanacompete nan mchafu zaidi ya mwenzake πππWazee wa misifa! Sasa pipeline na hiyo clip tofauti ipo wapi?
we mzee kuna namna ya kucheza nao ππ yaani the goal ni kuwasifia alafu break the whole EGO πππ kwa mfano waambie capital of africa alafu unashusha na picha kama hii πππNajiuliza sana maswali, kwanini wanatuonea wivu kiasi hawataki dunia ijue nchi yetu inafananaje.? ππππ.
Yaani uko number 10 na umeshaanza kuhema mpaka unapost 12 floors ambayo iko complete π
View attachment 3661307View attachment 3661308View attachment 3661309
Hawa walevi au. ππππ.Anakataa sii hiyo na hawezi post the real thing. π€£ π€£ π€£
Nina uhakika hicho kipage chako unapost Kenya sana ila unaipost in negative light kama ilivyo kawaida yenu. Kama nadanganya hebu kiweke hapa tuchambue.Bro hakuna kitu huwauma wakunya kama kupost maendeleo ya Tanzania mitandaoni halafu usipost nchi yao.
Nina ushuhuda kupitia Facebook page yangu, imagine wanakuja kulia hadi inbox ili nipost nchi yao. πππ
Huwa nafanya kusudi napost Tanzania na nchi zingine then wao siwapost, wana vitisho vya kijinga ila huwa nawakomesha balaa.
Nchi yao ikipostiwa huwezi kuta Mtanzania akishoboka ila sasa subiri Tanzania ipostiwe. πππNajiuliza sana maswali, kwanini wanatuonea wivu kiasi hawataki dunia ijue nchi yetu inafananaje.? ππππ.
Weka link ya hiyo page. Kuna kitu nataka kuona.Hawa walevi au. ππππ.
Project hii hapa. ππΎView attachment 3661310here is the renda. ππΎView attachment 3661313View attachment 3661318View attachment 3661319zinafanana.? Ukiingia website unaletewa hii. πππ
Siwezi post nchi yenye low CPC.Nina uhakika hicho kipage chako unapost Kenya sana ila unaipost in negative light kama ilivyo kawaida yenu. Kama nadanganya hebu kiweke hapa tuchambue.
ndo vizuri so that you can crash them vizuri, si hawataki tz iendelee ππππ BTW they call themselves the US of EAC sasa sisi tunawaita ivo ivo alafu unafunga boda hakuna maindi kupita, πππnext day wapo barabaran raila must go πππNchi yao ikipostiwa huwezi kuta Mtanzania akishoboka ila sasa subiri Tanzania ipostiwe. πππ
thats too harsh π πSiwezi post nchi yenye low CPC.
Unataka wapige magoti hadi Dodoma kama kawaida yao tukizuia Mahindi! πππndo vizuri so that you can crash them vizuri, si hawataki tz iendelee ππππ BTW they call themselves the US of EAC sasa sisi tunawaita ivo ivo alafu unafunga boda hakuna maindi kupita, πππnext day wapo barabaran raila must go πππ
BTW unajua yale maindi yanasaidia sana kupunguza inflation mathare ππ if you thought maybe to break that link for a week you will collapse the whole food market ππUnataka wapige magoti hadi Dodoma kama kawaida yao tukizuia Mahindi! πππ
Nyumba inaitwa milele kwann isifilisike? π€£π€£
Nilijua kuna kitu unaficha.ππHawa walevi au. ππππ.
Project hii hapa. ππΎView attachment 3661310here is the renda. ππΎView attachment 3661313View attachment 3661318View attachment 3661319zinafanana.? Ukiingia website unaletewa hii. πππ
Wewe ni engineer ulisema right.? πππNilijua kuna kitu unaficha.ππ
Mwanzo Jina Lake sii Empire tower ni great homes.
Pili kijengo chenyewe ni 15 floors.ππ
Wakenya sii Bongolala Mr. Mbilikimo.ππ
Ndio hizi screenshot na link.ππ
View attachment 3661326View attachment 3661327
the funny part is now they need prayers to save it πNyumba inaitwa milele kwann isifilisike? π€£π€£
ivi Nicxie hujatoka kulipa tu bills uko, your village is getting embarrassed uku πSi ni ukweli. πππ
View attachment 3661325