Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nmekaa nmecheka you and some other guy trying to create imaginary slums in dar, wakati slums zenyewe zipo apo apo ukilipa ngiri 2 unafikishwa mapema 😂😂😂😂😂😂

Btw i never knew of this slum ndo nmeiskia juzi

View: https://www.youtube.com/watch?v=drb_W-TuFcM&pp=ygUca29yb2dvY2hvIHNsdW0gbmFpcm9iaSBrZW55YQ%3D%3D
 
Do you know the meaning of a construction zone kilaza ?….. 🫣🫣🫣
kwahio ulivodivide vumbi nusu ndo unaita construction 😂😂😂 watu wanajiandaa na el nino kwa kuweka drainage wewe unawaza kwamba wanaenda kuweka nn tena apo 😂😂😂😂
 
Sometimes huwa tunakaa kimya kuwasitil. Lakini ka mudomo ka jirani. 🤣 🤣 🤣 🤣
sio mbaya kuwakumbusha mara moja moja 😂😂😂

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/groups/thekenyatimes/posts/1384228979506117/
 
Hawajui the difference between installed and generated capacity… hawa majamaa .. masomo hawana …😆😆
Majority of countries doesn't even achieve 70% of their installed capacity. Hawa wanadhani hiyo Installed Capacity is what is being produced on a daily basis😂😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…