Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i challenge them to show me any prominent person or celebrity in tanzania who wears an outfit that has been branded with anything kenyan.

here is mombasa governor hassan joho in his new baseball cap that has a design logo of ali kiba signature.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Si yuko majuu hata Mwalimu Nyerere aliwambia zama zile.
Asante sana kwa kumuheshimu na kumuenzi baba wa Taifa na Afrika kwa ujumla, kule HQ ya Afrika, Ethiopia kuna jengo kubwa limepewa jina lake, alikuwa mtu wa kipekee kabisa, aliweza kumaliaza kabisa ukabila, alijenga nchi yenye usawa na umoja, aliweza kuzilinda na kuhifadhi mali zetu za asili zisiporwe na viongozi wachache wenye tamaa, alipunguza pengo la masikini na tajiri, ulituachia urithi wa amani, umoja, kuheshimiana na kupendana. R.I.P.
 
Wako ......lkn sisi....wa254 huwa hatuna haja yakujua vile bongoo kunaendelea
 
Tunawajua wanamziki,kapombe na shumileta..lkn maendeleo....ligi yenu ni Rwanda Burundi south Sudan Uganda somalia na Bukins faso
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
hivi kilaza anajibishana na nani?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Where did you get that info, coz I can tell you where I got the information from about Tanzania being an LDC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…