Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyamwezi wacha kujiaibisha mbele ya umma. Huu uwanja mlitabiri haitajengwa. Right now it's 95% complete na bado inawasumbua akili.

Sio uwanja wa soka pekee? Kwa hivyo watakuwa wanaandaa michezi ipi jando na soka na raga?

And talking of pitch size, what's the FIFA recommended size of a football pitch?
 
Me Uganda mwenzenu bado siwaamini kabisa, uganda bado sn, hata viwanja vyake naona vimekaa kijuakali flan hv.
Yes but it has to happen ivo for diplomasia, however for kenya we dont really care πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uganda na tanzania ndo waanzilishi wa hii AFCON kenya was later joined by wallace karia baada ya ombi maalum la kuwatoa kwenye FIFA BAN
 
kwan ulikua unategemea kufanya stadium nzima? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
U songeza kiunyonge aje?

Can't you see the matching for making holes is already in the middle of the stadium?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
U songeza kiunyonge aje?

Can't you see the matching for making holes is already in the middle of the stadium?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3658788
ni huzuni πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ sku izi fibre znawekwa holes πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilikwambia tulia muonyeshwe show mkasemaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hebu niambie ww, wachezaji gn wataweza kuhimili ukubwa wa hii pitch kama yote itabidi ichezwe mpira
 
ni huzuni πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ sku izi fibre znawekwa holes πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilikwambia tulia muonyeshwe show mkasemaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna stadium yoyote Tanzania with an hybrid pitch nyamazaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

Wewe unaona nini inafanyika hapa?πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…