Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkoa wa [HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] umebarikiwa kwa kuwa na ardhi nzuri arable pia ni kati ya mikoa the nayoilisha nchi kwa kuwa na mavuno yasio na kifani.

Pia mkoa wa [HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] ndio mkoa unao control biashara ya usafiri katika lake Nyasa ambapo mkoa una meli nyingi za abiria pamoja na mizigo zinazofanya safari katika ports zote za lake Nyasa upande wa Tanzania, Malawi na Mozambique.

[HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] #10 [HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]

Ni kichaa pekee anayeweza kusifia status ya Lower middle income bila kuangalia nini kimepatikana kutokana na hiyo status, kama bado watu wanakufa kwa njaa, bado watu wanaishi katika slums, bado hakuna employment kwa vijana, bado maji safi na salama mijini hakuna, wakati nchi inayoitwa ldc wanavyo hivyo vyote.
 
Kelele nyingi oooo ldc kumbe wanataka kuishi Tanzanian dream
 
Ruvuma peke yake inaiilisha kenya yote Franklin
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] ina idadi nzuri ya tembo na vivutio vinginevyo lukuki vya kitalii kwa kifupi Tanzania kila mkoa una tourists attraction tena sio vya mchezo, pia ujenzi wa barabara umepata kasi kubwa Sana.

[HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] #10 [HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]

So far I have done six counties in Kenya ......the 41 more to go mtapata kwa portal....lol.But one thing is common.....those Tanzanian towns are too sleepy ...lol.no sight of a single new building or feeder road under construction .
Hahaha mziki umekua mnene? Ungeendelea tu my friend hata sisi tunataka kuijua Kenya zaidi.
 
So far I have done six counties in Kenya ......the 41 more to go mtapata kwa portal....lol.But one thing is common.....those Tanzanian towns are too sleepy ...lol.no sight of a single new building or feeder road under construction .
Huoni jamaa anatuletea nyumba moja moja instead ya aerial ju anajua hamna kitu hapo [emoji1]
 
Huoni jamaa anatuletea nyumba moja moja instead ya aerial ju anajua hamna kitu hapo [emoji1]
Tanzania regions sio cities wala towns huko maeneo ni makubwa, Tanzania mtu anamiliki eneo lake kubwa hivyo it's so difficult to take one shot with many homes sababu hawajabanana kama huko nilishangaa kuona mji kama Mandera na mingine inayochipukia makazi yamebana kama slums in tanzania you won't find that in upcoming regions people live large even in town areas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…