Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,037
- 107,536
Unakaa kichokoraa!
Unakaa kichokoraa!
Kama hiyo inakaa kichokoraa then what will we say about this here?👇👇👇Unakaa kichokoraa!
unategemea waongee nn sasa na wanakaa uku 😂Baada ya miezi sita au mwaka watakuja na takwimu hapa kuwa wana umeme mwingi kupita nchi nzote za Africa Mashariki na hakuna hata mradi mmoja wa umeme wanao jenga kama unakumbuka ile ishu ya barabara ili wajipoze
they are healing give them timeUnakaa kichokoraa!
Tuonyeshe skybox kama mnayosema walai 😂😂