Haya basi kaka, kujieni hawa omba omba wenu wenye 'hawana akili timamu' as you have rightfully said above. We want to get rid of beggars off our streetsHiyo ni kuonyesha kwamba, nchi yenu ni hovyo, ni watu wasiokuwa na faida wala wenye akili timamu anaweza kuja huko kwenu, huku tunawapokea investors, interlrctuals na professionals kutoka Kenya and others countries, wao ndiyo wanachagua kuja Tanzania kwasababu wanajua ni nchi wanaweza kuishi na kufanya kazi, ipo na vigezo vyote vya wao kuishi, Kenya ina vigezo vya omba omba kuja kuishi huko, nchi yenyewe ni omba omba.
Kichwa yako ni mbovu wewe, kati ya wakenya na watanzania, ni nani wanaotaka kwenda kufanya kazi na kuishi nchi ya mwenzake?, sisi huko tunaweza kuja bila passport na kufanya kazi bila work permit, ila ninyi hamuwezi kuja huku bila passport na work permit, kama ilivyo vigumu kwa waafrika kwenda Europe, mkenya akifanikiwa kuja bongo, wachache sana wanarudi Kenya.
Don't confuse the two,Cape Town could be the first major city in the world to run out of water
drought is real...ata Nairobi imejaribu...By April 2018, Caoe Town watr supply will run out...that means all people will not have water except hospitals
Aaah wap, Heshima inategemea na uwezo wa mtu binafsi namna anavyojiheshimu tu!!Wakat niko home Moshi,alikuepo jirani yetu mmoja house boy Mkenya, the only thing anaweza nikuongea kingereza,lakini anashughulikia ng'ombe ,kuku nk. ...mtanzania akisema anatoka Nairobi kuna kaheshima flani anapewa hahaha hata kama ni mskuma mkokoteni gikombaa....
Hatajuaje huyu mlugaluga wa mombasaS.A., Zambia,Tanzania national anthem zafanana...Meza Wembe
We uliefika apa juzi Ndio kujifunua unafanya watu wanyamaze how?huna Ata knowledge yakumconvice mtu kwa jambo hata dogo,unabaki kutapatapa na Kenya ambayo most of you ni juakaliHehehe...I love how these morons have been silenced here today. It's high time they kept to their lane.
Wafukuzeni, sisi huwezi kukuta ombaomba katika miji yetu, kuna operation maalumu zinafanywa kila baada ya kipindi kuwakusanya na kuwarudisha vijijini walikotoka, ni jukumu la serikali za vijiji na ndugu zao kuwahudumia, sio kuwaacha wazagae mitaani, rudisheni kama kweli ni watanzania, kwanza waliwezaje kuvuka mpaka bila proper documents?Haya basi kaka, kujieni hawa omba omba wenu wenye 'hawana akili timamu' as you have rightfully said above. We want to get rid of beggars off our streets
Hahahaha mkuu naona unawapelekea zawadi za mchele tu umenifurahisha sana, kuna rafiki yangu nami yuko monrovia street huo muda ukifika utampatia hata 5kgs zimsaidie pasaka....Hapo Toure drive karibu na Yaya Centre kuna kampuni inajishughulisha na kuuza vifaa vya metal detectors, ni American Company, unaweza kuja April nitakuwa hapo, uje uchukue mchele wako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe uliefika hapa kitambo hiyo imekusaidiaje kutoa nchi yako katika uchochole wa ldc?We uliefika apa juzi Ndio kujifunua unafanya watu wanyamaze how?huna Ata knowledge yakumconvice mtu kwa jambo hata dogo,unabaki kutapatapa na Kenya ambayo most of you ni juakali
Hehehe...acha tu ni cheke. Basi Nyerere must have been drunk while saying this
Ldc ni jina tu,same as lmic,nakushangaa we unae pewa status nzuri wakati unafunzaWewe uliefika hapa kitambo hiyo imekusaidiaje kutoa nchi yako katika uchochole wa ldc?
Duh, hiyo kitu asikwambie mtu,yummy
Nchi yoyote makini lazima idhibiti mipaka yake, hasa zile nchi ambazo uchumi wake unakwenda vizuri, kwasababu watu wengi wanapenda kuhamia katika nchi hizo. USA, Europe, Australia, New Zealand, South Africa, Tanzania, China, hizi ni nchi ambazo watu wengi wangependa kwenda kufanya kazi, haziwezi kuruhusu bila kufhibiti mipaka yake.Your government is scared stiff dead of Kenyans dominating everything in Tanzania if allowed free access like other East Africans na sio ati tunakimbia Kenya! Any Tanzanian hata omba omba willing to come work/invest in Kenya is welcome and not that it's a government or EAC policy but because of Kenyan's nature,we like competition and the more the merrier!
You should have reminded him that it is because we love competition that our country has developed than theirs. Huku kila mtu ni kujituma, sio story za vijiwenu while praying and hoping that a miracle will happen and change your ldc statusYour government is scared stiff dead of Kenyans dominating everything in Tanzania if allowed free access like other East Africans na sio ati tunakimbia Kenya! Any Tanzanian hata omba omba willing to come work/invest in Kenya is welcome and not that it's a government or EAC policy but because of Kenyan's nature,we like competition and the more the merrier!
Now are you tring to say that IMF and world bank erred in coming jp with the list? You are not there by mistake mate. There's something you ain't doing right. Now please deal with your ldc status na uache nye nye nye mingi wewe mtoto wa bongoLdc ni jina tu,same as lmic,nakushangaa we unae pewa status nzuri wakati unafunza
Hahahaha mkuu naona unawapelekea zawadi za mchele tu umenifurahisha sana, kuna rafiki yangu nami yuko monrovia street huo muda ukifika utampatia hata 5kgs zimsaidie pasaka....
Naona mnajisikia kama Majuha sisi sio ombaomba wa chakula kwa Wamerekani kama nyie wajanja wazima mnaomba msaada wa chakula.Huo mchele wakuchora auHahahaha mkuu naona unawapelekea zawadi za mchele tu umenifurahisha sana, kuna rafiki yangu nami yuko monrovia street huo muda ukifika utampatia hata 5kgs zimsaidie pasaka....