KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,154
Point ninkwamba, kwanini nchi imeshindwa kutengeneza mazingira mazuri ya kuwapatia ajira wananchi wake, ambalo ndio kipimo cha ubora wa serikali, badala yake Kenya imekua ni source ya economic exiles and refugees?, it is a failed state.
Ndo maana mimi huwa nawauliza kwamba mbona nyie msiokua na ukabila mko kwenye ile list ya aibu ya ldc wakati sisi wenye ukabila hatuko huko? Mbona ujamaa haijawasaidia kutoka kwenye ile list miaka hamsini tangu mpate uhuru?Hata kama nilifanya kazi Kibera, hiyo ni Kenya na inawakilisha Kenya, yanayotokea Kibera yanawakilisha Kenya nzima, muhimu ni kujua kwamba, ukabila umeenea nchi nzima na upo kila sehemu, sio kweli kwamba ni wakati wa uchaguzi tu.
At least Umekubali wewe ni kibaraka wa wazungu.Hata kama nilifanya kazi Kibera, hiyo ni Kenya na inawakilisha Kenya, yanayotokea Kibera yanawakilisha Kenya nzima, muhimu ni kujua kwamba, ukabila umeenea nchi nzima na upo kila sehemu, sio kweli kwamba ni wakati wa uchaguzi tu.
Hajawahi fika Kenya huyo.. Mtu yoyote ambaye ashafika nairobi atajua jamaa anadanganya, amejitengezea story ndani ya kichwa kuhusu wakenya kutokana na typical stereotype aliyodanganywa na watz wenzake humu mitandaoni... I don't even think ashawi toka nje ya Tz....Nairobi ni kubwa be specific ni wapi ulifanyia wamerikani(kumbe Wewe ni kibaraka wa wazungu) kazi la sivyo hujawahi toka Tz.
Mimi sio kama wewe mtu wa Kibera, kila miezi mitatu kabla ya uchaguzi wenu nilikua ninakuja Nairobi, nimeacha kwasababu ya fujo Zenu za Uchaguzi, Professor Mwabora hapo Nairobi University department of Physics huwa ninamchukulia 50Kgms of rice in my car whenever I come there, Kenya hiyo nimeizunguka sana, mkishatulia kidogo nitakuja tena, nitakutafuta nikuletee mchele wa Kyela na wewe pia.Hajawahi fika Kenya huyo.. Mtu yoyote ambaye ashafika nairobi atajua jamaa anadanganya, amejitengezea story ndani ya kichwa kuhusu wakenya kutokana na typical stereotype aliyodanganywa na watz wenzake humu mitandaoni... I don't even think ashawi toka nje ya Tz....
You are not any different from your countrymen in this forum. You all suffer from one thing: ujamaa mental slavery. You all think that only a fraction of kenyans own this country after realizing that you wasted many years stuck in ujamaa slavery with nothing to show for it. IMF and World Bank sio wajinga waliposema Tanzania is a least developed country while Kenya isn't.Maendeleo kwenu ni tofauti sana na kwetu, sisi tunajali maendeleo ya watu, wapate chakula, nyumba za kuishi, huduma bora za afya na maji, na ajira kwa vijan, ninyi maendeleo ni kuwa na majumba marefu, Malls na matajiri wachache wenye kumiliki uchumi wote.
Umesahau wale omba omba wao wa Tom Mboya Street na Accra Roadone million plus Tanzanians are doing odd jobs in Kenya up to and including hawking.......funny how most of you here have at a time worked in Kenya ambayo mnatukana.......our companies have given 100000 jobs to Tanzanians....but being who you are you celebrate any calamity that hit Kenya......As I have always repeated...we won't bother with Tanzanians hustling in Kenyan soil.For Tanzania I think they have arrested or deported many hardworking Kenyans hustling in Tanzania.....I even got stereotyped one time enroute to mwanza by a police officer who confiscated our identity cards for 3 hours . ... .........
He has more than three big and posh houses in Dar, swallow that bitter pill.
Kenya’s super rich now control two thirds of Sh6.2trn economyYou are not any different from your countrymen in this forum. You all suffer from one thing: ujamaa mental slavery. You all think that only a fraction of kenyans own this country after realizing that you wasted many years stuck in ujamaa slavery with nothing to show for it. IMF and World Bank sio wajinga waliposema Tanzania is a least developed country while Kenya isn't.
Umesahau wale omba omba wao wa Tom Mboya Street na Accra Road
Tanzania iko mbali sana kimaendeleo yet mko listed kwa ldc. Look at your poor souls danganyikans. The country in front of you is Kenya, and will slways be
The only Tanzanians I know working in kenya ni wale omba omba (street beggars) who have invaded our streets like the Biblical locusts of the ten plagues. Wengine ni wale 'professional medicine men' aka wanganga kutoka sumbawanga. You must have been worked in those 'sectors' during your short stint in Kenya. Maneno ya eti ulikuwa unafanya kazi kwa shirika la wamarekani peleka mbaliNimefanya kazi hapo Nairobi kama mfanyakazi wa shirika la wamarekani, ninafahamu jinsi mnavyobaguana kwa misingi ya ukabila katika sectors zote, kuanzia elimu, ajira, maeneo ya kuishi watu na hata katika nyumba za ibada, kwahiyo acha kutudangaya kwamba ubaguzi ni wakati wa uchaguzi pekee.
Kuhusu maendeleo, Tanzania ipo mbali sana na kamwe hamuwezi kuifikia tena. Kwetu tunapima maendeleo ya nchi katika mambo yafuatayo,
1)Uwezo wa wanainchi kupata lishe bora
2)Uwezo wa wananchi kuwa na makazi yenye hadhi ya kuishi binadamu
3)Uwezo wa wananchi kupata matibabu bora
4)Upatikanaji wa ajira kwa wananchi walio wengi
5)Kupungua kwa kiwango cha umasikini miongoni mwa wananchi
6)Kupunguza tofauti ya kipato kati ya masikini na tajiri
Katika hayo, onyesha ni wapi Kenya imeizidi Tanzania?. Au wewe sema maendeleo ambayo unayasema wewe ni yapi?
Wacha maneno wewe, mnaishi katika nyumba za kupanga, all big houses belong to rich few, you either rent an appartment if you have good income, or you live in slums, who doesn't know you?Seems it's a miracle for a Tanzanian to own big/posh house! Houses are common investments and great that a few like Diamond have realized that! In Kenya even low grade civil servants and teachers own grand ones through their Saccos.
Ushamba tuuu ndo unakusumbua tafuta hela utembee Kenya physically si na hekaya za watu.Mimi sio kama wewe mtu wa Kibera, kila miezi mitatu kabla ya uchaguzi wenu nilikua ninakuja Nairobi, nimeacha kwasababu ya fujo Zenu za Uchaguzi, Professor Mwabora hapo Nairobi University department of Physics huwa ninamchukulia 50Kgms of rice in my car whenever I come there, Kenya hiyo nimeizunguka sana, mkishatulia kidogo nitakuja tena, nitakutafuta nikuletee mchele wa Kyela na wewe pia.
Kenya nzima haiwezi kuwa na watanzania zaidi ya laki200, kama una evidence lete tuone, zaidi ya hao ombaomba na wavuvi toka Pemba, na wachaga hapo Gikomba, ni mtanzania gani anayejitambua anaweza kuja huko?, ninyi wenyewe mnakimbia nchi yenu kutokana na ugumu wa maisha na usalama mdogo.Umesahau wale omba omba wao wa Tom Mboya Street na Accra Road
Kwani hujuangi kwamba to them Kenya is like Europe? Don't you remember how Nyerere used to tell them that wakitaka kwenda ulaya wakuje tu Nairobi coz ni kama tu ulaya. Hawa watu talk bad about us lakini ndani ya mioyo yao wanatumezea mate ile mbaya.Seems it's a miracle for a Tanzanian to own big/posh house! Houses are common investments and great that a few like Diamond have realized that! In Kenya even low grade civil servants and teachers own grand ones through their Saccos.
What's the point of bringing us pictures of schools that don't help much in harnessing and churning out quality graduates? If your schools were better, we couldn't be seeing your fellow countrymen crossing over to kenya in their thousands each year to receive quality education. I live in a border town (Migori) na nimesoma na Tanzanians from kindergarten level to college all the way in Nairobi
Kichwa yako ni mbovu wewe, kati ya wakenya na watanzania, ni nani wanaotaka kwenda kufanya kazi na kuishi nchi ya mwenzake?, sisi huko tunaweza kuja bila passport na kufanya kazi bila work permit, ila ninyi hamuwezi kuja huku bila passport na work permit, kama ilivyo vigumu kwa waafrika kwenda Europe, mkenya akifanikiwa kuja bongo, wachache sana wanarudi Kenya.Kwani hujuangi kwamba to them Kenya is like Europe? Don't you remember how Nyerere used to tell them that wakitaka kwenda ulaya wakuje tu Nairobi coz ni kama tu ulaya. Hawa watu talk bad about us lakini ndani ya mioyo yao wanatumezea mate ile mbaya.
I am privileged to live near a border town. I once travelled to a place called Bunda in northern Tanzania trough Sirari border. The moment you cross over to Tanzania you feel that you are in a different country, if not a different planet all together. The level of poverty and backwardness rent the air the moment you step on Tanzanian soil. All through the journey I kept wondering why Tanzania has achieved so little in terms of development.a country can't be in ldc by mistake wenye tumeenda Tanzania tunajua vizuri sana.....halafu Tanzanian villages are all clumped together in ujamaa settings ....the nyerere model I guess and nothing is basically happening in those villages ......in Kenya people are spread out in the villages and our villages have a mix of permanent posh homes semi permanent homes and village centres with all basic stuff done over there and after every five kilometres there are busy centres by the roadside.......Ile niliona Tanzania bado hunishangaza how they live though even in that poverty they are very patriotic than us.....watoto wameshonewa sweta za rangi ya Tanzania....