Endelea Tu kupost render, hakuna mwenye amekuzuia😂😂Ushamaliza kubisha niendelee.? 😂😂😂
sema mwanaetu una roho ya slum 😂 😂 video imeonyesha building na construction site ila hutak tukupangie self happiness, yaani wewe unataka kila siku tupost video za Master mwanaetuEndelea Tu kupost render, hakuna mwenye amekuzuia😂😂
Yani Rostam Aziz amlilishe Elon Musk Lisa Hela. Hiyo ndio logic yako.😂😂Maandishi ya mtu anaetaka kulia ninayajua. 😂😂😂 usiomie kaka, zoea Dar. Ulidhani mnajenga nyie tu eeh.?
kuna mtu kaongelea elon ama umechanganyikiwaYani Rostam Aziz amlilishe Elon Musk Lisa Hela. Hiyo ndio logic yako.😂😂