Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,313
- 18,152
So uko na picha za renders kwenye gallery yako lakini ukiitishwa progress ya hayo majengo unaleta povu 🤣🤣Hakuna hata jengo moja hapo ambalo eti ni Render tu, majengo yote hayo yapo under construction. Ingia google tafuta uhakiki, kwasababu anaebisha ni wewe wala si mimi. 😂😂😂
N those are just 5 buildings you asked me to post .. ninazo kibao hapa kwenye gallery yangu nakusubiri tu useme SU. 😂😂 nikunyooshe.
Alafu unataka kutuamini? Ndio maana nilisema hayo majengo mnazijenga ila kwenye ndoto tu!!