President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,458
- 93,866
Sijawahi ona mtanzania mwenye akili timamu anaenda kuishi Kenya. Lakini kila mkenya ndoto yake ni kuzamia Tanzania. Mifano ipoWabongolala mnatamani sana tuwe familia moja na nyinyi.
Sijawahi ona mtanzania mwenye akili timamu anaenda kuishi Kenya. Lakini kila mkenya ndoto yake ni kuzamia Tanzania. Mifano ipoWabongolala mnatamani sana tuwe familia moja na nyinyi.
There's a difference between crying and dismissing a fool Mr. Liker.
Why are all stadiums being concentrated in Nairobi??
Thika imekuwa Nairobi City tena? Ama ni kusoma hujui? Ama you're bamboozled na gorofa za Thika unadhani ni Nairobi?Why are all stadiums being concentrated in Nairobi??
Is Nairobi the only city?
Mwambie tunajenga stadiums nchi nzima.Thika imekuwa Nairobi City tena? Ama ni kusoma hujui? Ama you're bamboozled na gorofa za Thika unadhani ni Nairobi?
Si huwa mnasema Thika sio Nairobi? Tena Leo iko Nairobi?Why are all stadiums being concentrated in Nairobi??
Is Nairobi the only city?
technically yes! Ukunduni has no other city worthy hostin CAF''s Pamoja 2027! Hata Uganda is better than Ukunduni!Why are all stadiums being concentrated in Nairobi??
Is Nairobi the only city?
By the way we are building stadiums like that all over the country. Wakati nyinyi mnajenga tatu pekee nchi nzima, Sisi tunazijenga everywhere.Why are all stadiums being concentrated in Nairobi??
Is Nairobi the only city?
You don't have a palm oil refinery in Tanzania. So mlitokaje huko?
Tanzania haipigi kelele, hivyo assumptions ni kuwa hamna hiki na kile.
Kindly show us the palm oil refinery plant in Tanzania.Tanzania haipigi kelele, hivyo assumptions ni kuwa hamna hiki na kile.
Can you share progress of the constructions?By the way we are building stadiums like that all over the country. Wakati nyinyi mnajenga tatu pekee nchi nzima, Sisi tunazijenga everywhere.
Which county do you want?😂😂 Just choose one.Can you share progress of the constructions?
Tukisema humu wanaona ni mzaha. Hadi Wajir, Marsabit, Mandera, Turkana zote zinapata Stadium.Mwambie tunajenga stadiums nchi nzima.
Tena amesema Nairobi City, Sio tu Nairobi Metro. Yani Thika iko ndaaaaaani ndaaaaaani ya Nairobi.😂😂Si huwa mnasema Thika sio Nairobi? Tena Leo iko Nairobi?
Hao wanajenga only three stadiums wanataka kushinda na wenye wanajenga more than 50 stadiums at once.Tukisema humu wanaona ni mzaha. Hadi Wajir, Marsabit, Mandera, Turkana zote zinapata Stadium.
The question still stands.Thika imekuwa Nairobi City tena? Ama ni kusoma hujui? Ama you're bamboozled na gorofa za Thika unadhani ni Nairobi?
Ebu tuonyeshe hizo clubs apart from Azam😂😂The question still stands.
This 10 000 seaters 🚮 ni uwanja wa local clubs Tanzania.
Share progress.Which county do you want?😂😂 Just choose one.
10 000 seaters ziko kila mahala huku. Hizi ni local clubs wana own.Tukisema humu wanaona ni mzaha. Hadi Wajir, Marsabit, Mandera, Turkana zote zinapata Stadium.