Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


sasa hata ingekua ni wewe mzazi utakubali mtoto wako wa kike aolewe na goons? 😂 😂 tukianza na hawa waliopo apa Teargass ndo kwanza hata simu hana, Nicxie ndo kabisaa katoka kuchezea panga la pua (huyu ni goon forever), mwaiofhawaii hawezi acha kazi ya kulea vibibi
 
Back
Top Bottom