Jana kulikuwa na Mashindano ya Miss Grand Tanzania. Walitakiwa washindi 9 kwenda kuiwakilisha Tanzania kimataifa. Na mwingine wa 10 Miss Elite hayakufanyika mwaka jana, anaenda kuiwakilisha Tanzania mwaka huu.
Hii hapa Orodha na nitakupatia details za kila mmoja:
👑Miss Grand Tanzania 2026
@jihandimack
👑Miss Cosmo Tanzania 2026
@prisca__lyimo
👑Miss Earth Tanzania 2026
@celine_edson06
👑Miss International Tanzania 2026
@agape_anthonny
👑Miss Intercontinental Tanzania 2026
@janethanselme
👑Miss Global Tanzania 2026
@rossie__.uisso
👑Miss Africa Golden Tanzania 2026
@_zulfa.yazid
👑Miss Elite Tanzania 2026
@official_sharon_01
👑Miss Africa Tourism International 2026
@its_namala
👑Miss Africa International Tanzania 2026
@_eve_godwin___
Top 3 kila mmoja alipata gari mpya Toyota IST.
Natamani katika hili wakenya watusogezee warembo wao