Leo nakunyoa properπ€£ππ€£πππni kenyan bana watu wasipige kelele
View attachment 3647209
SAA hii wanadai ati ana worthy $800 mln Baada ya kununua NMG group, Coastal aviation, Petra diamonds, Axian group, Mwananchi Telecom, gas terminal Mombasa, Zambia gas, power n mining projects e.t.c!
Tena hutaki kuongelea mambo ya nationality?ππ€£π€£π€£.
Anywhere unaenda ntkunyoaπππ€£πππ
View attachment 3647211
endelea kunyoa vizuri sasa
Sasa unajua utajiri wa mwanaume mwenzako kuliko? Wewe umemuona akicomplain?πππSAA hii wanadai ati ana worthy $800 mln Baada ya kununua NMG group, Petra diamonds, Axian group, Mwananchi Telecom, gas terminal Mombasa e.t.c!
he went into politics na apo ndo wakaacha kurecord networthSAA hii wanadai ati ana worthy $800 mln Baada ya kununua NMG group, Petra diamonds, Axian group, Mwananchi Telecom, gas terminal Mombasa e.t.c!
Leo nakunyoa sehemu zako za siriπ€£π€£ππππHehehe au hujui citizenship unaweza kuapply na kua nazo 2πππ
View attachment 3647214
hapana nliona akiuliza kuhusu clansSasa unajua utajiri wa mwanaume mwenzako kuliko? Wewe umemuona akicomplain?πππ
Unataka tuongelee raga? π€£π€£volleyball ni sports ya kuongea mbele za watu?
nyoa vizuri sasa
Sports zinazojulikana you always end na ZERO pointsUnataka tuongelee raga? π€£π€£
yaani makelele yote kumbe kampuni la watu ππ
Kuna nywele bado umebaki nazo? Leo nakunyoa properπππ€£ππhapana nliona akiuliza kuhusu clans
View attachment 3647219
hujamaliza kunyoa tu?
Bado una mindset ya kizee, dunia ya sasa your background doesn't matter that much ukiongelea suala la Nationality. Obama is an American, he is not Kenyan, he has never been one and he'll never be one. He's just an AmericanHe is a Kenyan by origin and a American by birth.
sio kwamba hajui ni denial inamsumbua just relax tunataka asikimbieBado una mindset ya kizee, dunia ya sasa your background doesn't matter that much ukiongelea suala la Nationality. Obama is an American, he is not Kenyan, he has never been one and he'll never be one. He's just an American
Kwa mfano people from my tribe wali migrate kutoka South Africa na kuja kusettle Tanzania from 1820-1840. Does that make me South African? No... Not even a little bit. I'm now a pure Tanzanian in every imaginable way. Hiyo ndio same case na Black Americans au White South Africans. Nationality na tribal background ni vitu viwili tofauti sana.
So yeah, Mo Dewji is a Tanzanian and Obama is not Kenyan. Wewe endelea kusema sijui by origin, Nonsense. No one cares
Hata mimi naona ni kampuni ya watuπ€£π€£πππyaani makelele yote kumbe kampuni la watu ππ
View attachment 3647221
kazi ya kunyoa imekushinda?