Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ndio hali halisi,haya mengine ni wivu tu ya hawa wavuta gundi wa slums za naikundu
Nakumbuka Dangote alikuwa anataka kitalu cha makaa ya mawe kwa bei chee huko Songea akakataliwa, kipindi kile alianza kuleta mbwembwe. Ameambiwa Nafasi yake ni kuwekeza kwenye Biashara ya Mbolea kama hataki wengine watawekeza kwenye mbolea hapo Tanga.
 
Mjinga Kweli jamaa ana kinyongo! Ngoja tuone kama Lamu refinery itatoboa mbele ya Tanga refinery!
 
Sahii watu wana ndoto ya refinery!
 
Ila trucks zake zinapiga kazi vibaya mno songea to mtwara,ile njia zimejaa zenyewe tu
 
Wakunyaa wako Kilgoris kushuhudia mtoto wa Kibongo akichukua kombe mbele yao..

Ng'ombe sana hawa jamaa... Mafala sana hata dada zao hawawataki.. πŸ˜…
Yani unajua hadi Kilgoris?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbafuatilia Kenya Sana.
 
Tanga refinery gani Mr. Methuselah? Hakuna refinery inajengwa Tanga.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
agreement ya ruto na dangote iko wap? is there a contract? paper? 🀣 🀣 🀣 lazima ujinyee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…