Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafanya mchezo kuhost AFCON kwenye kiwanja kimoja, mji mmoja na kujenga kiwanja kimoja huku Tanzania akihost AFCON kwenye miji mitatu huku akijenga viwanja vitatu vipya CAF na FIFA standard, lazima iwaume. 😂😂😂
Uzuri Tanzania will not host any important AFCON match😂😂
 
Yani wewe hohehahe wa mabibo inaitwa Africa's richest man mshenzi? 😂😂.
How satirical!
Dangote alishawaambia kitambo yeye hategemei hiyo pipeline ya Total na hawaskii. By the way, Dangote akitaka kununua hiyo Mafuta ya total haezinyimwa.

Total will sell that oil without blinking 🤣🤣😂
 
Ile ilikua move ya Dangote kujaribu kuteka mradi. Akawatumia kenge wa kaskazini kujarubu kuuteka. Ikafeli vibaja na hatoweza kujenga refinery tena, maana hii ya Tanga ni ya Africa mashariki yote. Atakayojenga kenya itakuwa ya Kenya Tu
Refinery ya Dangote ni 700K BPD ambayo itakua the 6th biggest refinery in the world, serving the continent and the world. Tanga hapajulikani panajengwa nini apart from storage tanks.
 
Refinery ya Dangote ni 700K BPD ambayo itakua the 6th biggest refinery in the world, serving the continent and the world. Tanga hapajulikani panajengwa nini apart from storage tanks.
Reporters really tried to know what the MoU is trying to say wakashindwa. The document was pure vague 😂🤣😂.

 
Dangote alishawaambia kitambo yeye hategemei hiyo pipeline ya Total na hawaskii. By the way, Dangote akitaka kununua hiyo Mafuta ya total haezinyimwa.

Total will sell that oil without blinking 🤣🤣😂
Week mbili sasa nauliza MoU ya Dangote kujenga hapo lamu sipewi.
 
Reporters hawajui ni nini kitajengwa Tanga.
Museveni hajui ni nini kitajengwa Tanga.
Samia hajui ni nini kitajengwa Tanga.
Even Vitol pia hajui ni nini kitajengwa Tanga.
Lakini mkaazi WA Tandale tayari kashasema ni refinery which is not even in the pipeline 🤣🤣😂

 
An MOU is not a legally binding document. In fact the parties involved can fail to honor it na hakuna kitu wanaeza fanyiwa.
Mwambie one party can decide to tear that document mbele ya mwingine na hakuna Kitu anaezafanyiwa. MoU is what we call story za jaba😂😂🤣.

 

"Dangote said the project will be financed through a combination of equity and debt, with the company planning to provide 30 per cent of the financing through equity and raise the remaining 70 per cent through debt."

Wengine bado wanaongelea MOU hata funding haijulikani itapatakana aje. 🤣 🤣
 
Source kenyans.co.ke 🤣 🤣 🤣 🤣 Blog ya Mama Ngina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…