kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,409
Pumbavu wewe.Kwani unadhani Dar iko na soko moja
Tunarekebisha soko moja Nairobi, unaleta mambo ya soko halihusiki Dar vumbi ati ni kucompare.
Kariokor yenyewe inakaa kama ilijengwa Central Africa Republic 1970s.
Hio ikabishane na soko La Kangundo road, Nairobi, na itashindwa saa mbili asubuhi.
Alafu, 99% of bongolala hawajawahi ata kununua nyanya supermarket. Even those with money 😂
Kenya watu kununua matunda, viazi na vitunguu supermarket ni jambo la kawaida. Especially within neighborhood suburbs and estates.
Soko kila mahali tuliachia LDC kama nyinyi.