President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,605
- 94,186
Utakufa kwa wivu ewe mtoto wa Mama NginaTumeambiwa wapi? Leta evidence ati ni $21B😂😂🤣🤣
Duh, hatari sana
kuna watu watajipata ufala kwa kujifanya watu wa deceive wengine! Wanachezwa baada ya kelele!
non binding agreement 🤣🤣🤣
Hapo imeandikwa $20B😂😂
pesa zimeandikwa Tsh 56 Trilioni mzee. Exchange rate huwa inabadilika kila siku. Maumivu ni makubwa sanaHapo imeandikwa $20B😂😂
si unajua sisi hatusubirii IPOHapo imeandikwa $20B😂😂
Kajamaa kamejifungia ndani kanalia siku nzima, ha ha ha😂
Hiyo $21B ni yako.🤣😂pesa zimeandikwa Tsh 56 Trilioni mzee. Exchange rate huwa inabadilika kila siku. Maumivu ni makubwa sana
Check hapa 🤣 🤣 🤣
View attachment 3645194