Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,149
- 107,714
Hata Moi nina wasiwasi nao kama utakidhi vigezo!au nyie mmeambiwaje Teargass Nicxie mwaiofhawaii nyangau mkenya NairobiWalker mmeambiwa kwamba lead cohost ni nani? mnatuchanganua kidogo, hopefully waliwaambia mapema kwamba half of all matches zinafanyika bongo, hopefully mmejiandaa kisaikolojia
View attachment 3643370