IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,264
- 9,385
Talking of IQ, yako iko sawa?We jamaa nina wasiwasi na elimu yako na IQ yako pia
Ni nani alianza kutaja Nairobi kama si wewe?
Hii Nairobi kwenu ndio mnaona ni among the top kwa Greenery ndio maana ulikimbilia kubadili mada na kuanza kuongelea Nairobi 😂😂
Hata hivyo, Region ambayo Dar ipo ni green kuliko Nairobi anyway.
Hizi sehemu mnazoona ni green Kenya, huku Tanzania zimejaa everywhere
View attachment 3643115