Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatu pekee. Ukisema mna 15.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hizo ni projects za mwezi wa 7, zipo ambazo zinakaribia kuisha. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ pitia hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
 
Picha za 2001
unajivunia kusema 2001 like itโ€™s 100 years ago?.. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Plus do you think the beggar menace from Tanzania has reduced?โ€ฆ it has now spread in all major cities and towns in Kenya. Chances are so high you will encounter a Tanzanian beggar in Mombasa , Kisumu , Nakuru, Eldoret hadi huko Thika โ€ฆitโ€™s a shame!
 
Miaka zaidi ya 25 ni umri wa mubaba, Dunia inasonga mbele hairudi. Thank you for TBT
 
You're deluded but let me let you wallow in your delusions.

Wewe ndio huna hoja ju unaropokwa vitu bila evidence.
Nadhani mnanijua kama mimi si mtu wa maneno matupu, na najua pia mmeshahakiki nilichosema. Kwahiyo ni uoga na kujikaza tu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama mnayaweza tushukeni ground. Google earth ipo.
 
Nadhani mnanijua kama mimi si mtu wa maneno matupu, na najua pia mmeshahakiki nilichosema. Kwahiyo ni uoga na kujikaza tu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama mnayaweza tushukeni ground. Google earth ipo.
Tumia hiyo Google Earth Mwenyewe uweke hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ