Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ivi mmegive up kutafuta glass building kwenye slum nzima? you all muted au tusiwapangie cha kujenga
1785508530419.png
 

Ah kumbe bado hawajatangaza centre itakuwa wapi!? Nikadhani ndio tayari mnasema itakuwa naipori..

Haya niambie Azam center ya broadcasting wameweka wapi hapo kunyaland???

Na kama naipori watachaguliwa kuweka IBC niambie Kuna OB van ngapi hadi Sasa ziko Tanzania na Uganda. Kwamba ni mpango una anza from the scratch au unarndelea na ambae tayari yupo na ana uwezo?
 
Back
Top Bottom