Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnakopesha mkiwa mnatumia over 40% ya revenue yenu kulipa madeni, bila mikopo hata salary hamuwez lipa, ebu jaribuni mfanye kama tz kuwakopesha vijana , muone kama withini a year hamjadefault
 
Surplus imetokana na tourism imefidia, kwenye kuuza mazao ripoti inasema hatukufanya vizuri sana ila tourism ilikuja kufidia, hopefully mwisho wa mwaka, hata ivo congo surplus yao inatokana na madini meanwhile kwetu ni sekta nyingi zimechangia, kwa kifupi ela imetembea kwa watu wengi
 
It's a monthly tax kama any other tax.
Zote ni pesa zetu.
 
Unanionesha nyumba zilizojengwa na companies for sale & rent?
Watanzania wanajenga nyumba zao wenyewe. with different designs. Sio same designs kama ulizopost hapo
Tuliza ujuaji.
Many of these 'companies' wanauza shamba. Mnunuzi anajijengea based on design ya hio estate.
 
Roofing yangu ilinikula Ksh700,000.
Yako?

Wingi wa mabati sio...
 
Tuliza ujuaji.
Many of these 'companies' wanauza shamba. Mnunuzi anajijengea based on design ya hio estate.
Kumbe ni heri sisi tunajenga design tunazotaka. Mtaa mmoja unakuta nyumba zina design 50+ tofauti tofauti vile inafaa
 
Mnakopesha mkiwa mnatumia over 40% ya revenue yenu kulipa madeni, bila mikopo hata salary hamuwez lipa, ebu jaribuni mfanye kama tz kuwakopesha vijana , muone kama withini a year hamjadefault
Ni wewe tunakopa? πŸ˜‚πŸ˜‚
Uganda inawapita tu mkisema Kenya inakopa. Bongolala nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…