Hata kusoma pia hujui. Read the last highlighted statement. Ama maana ya higher academic standards ndio hujui?😂Yani umepost hii kwa kujiamini kabisa.? 😂😂😂 ningekua wewe nisinge post. Anyways I just want to let you know shele zinazofundisha mitaala ya Cambridge huku Bongo zipo nyingi tu.
I thought waTz wanakuja kusoma kenya kwaajili ya ubora wa mitaala ya kikenya kumbe ni mitaala ya Cambridge.? 😂😂😂
Results kwa ground is more Kenyan teachers being employed in Tanzanian Schools.Kama Kenya ingekuwa na better education tungeona results kwa ground. But now, look at Kenya 😂
You failed in school that's why you don't want to talk about it🤣🤣😂Mzee mambo ya shule mimi nilishatia kabatini, sahii niambie kuhusu Biashara na namna ya kutengeneza hela.. hizi wewe endelea kujivunia nazo. 😂😂
Hayo maelezo hapo chini ni kidigo .? Kwamba wewe ni mkamba sasa unashindwa kuelewa kidigo.? 😂😂😂 hicho ni kiingereza kila anaona humu.Hata kusoma pia hujui. Read the last highlighted statement. Ama maana ya higher academic standards ndio hujui?😂
View attachment 3639172
Proof their education is shit, no well educated person can believe a single roadside vendor can serve 2000 plates of chips in a day.
Watu wanapiga mishe nyingi wewe Mbulula!🚮Amesema anauza mbuzi, juzi alituambia anafanya importation ya masimu. Kesho atakuwa anauza magari.
These people doesn't know anything in business.🤣🤣😂
so r u trying to say Tanzania has no international schools? Do u know ISM ws the first international school in EA!
What I'm saying Tanzanians are taking their children to study in Kenya to get better education.so r u trying to say Tanzania has no international schools? Do u know ISM ws the first international school in EA!