Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If you can't calculate balance sheet properly, how can you know anything about business?
 
Zinahusiana na quality of education, by the way your Mbeya is not among top 50 Universities in East Africa πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaona ulivyo fala. Sasa Tanzania Engineers wanatoka MUST, DIT na ATC. Sisi chuo chetu hata kwenye IPT hatuhangaiki kutafuta cause taasisi nyingi zinatuamini, huwa wanakuja kwa wingi kutoa nafasi.
Tuna lecturers wa kutosha, vifaa vya kutosha na watu wanapata skills hadi chuo kinaheshimika kwa course za Engineering, why should we care kuwepo kwenye hizo list?
 
Just answer my question please, you didn't step into any university, what level of failure should I put you if the normal failures are going to study in India, China and Kenya.πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Zile piche zangu za utoto unazopostigi humu zile ni TBTs nikiwa University. Hopefully wewe ni shabiki yangu mzuri tembelea ukurasa wangu wa instagram wa zamani usome locations za zile picha. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Good engineering school should appear here. Unfortunately non from Tanzania is hereπŸ˜‚

 
Zile piche zangu za utoto unazopostigi humu zile ni TBTs nikiwa University. Hopefully wewe ni shabiki yangu mzuri tembelea ukurasa wangu wa instagram wa zamani usome locations za zile picha. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
University gani? Ulisomea nini? Hakuna University yoyote you attended.

Let's take example with me;

University: The University of Nairobi
Course: Microbiology and Biotechnology
Career: Laboratory Analyst in a Pharmaceutical Manufacturing Company.

Sasa tell us the name of your university, your course etc.
 
Yani umepost hii kwa kujiamini kabisa.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ningekua wewe nisinge post. Anyways I just want to let you know shele zinazofundisha mitaala ya Cambridge huku Bongo zipo nyingi tu.

I thought waTz wanakuja kusoma kenya kwaajili ya ubora wa mitaala ya kikenya kumbe ni mitaala ya Cambridge.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Proof their education is shit, no well educated person can believe a single roadside vendor can serve 2000 plates of chips in a day.
Hehe ndo maana unaambiwa hujui lolote kwa 2000 tsh per plate imegeuka kuwa ni idadi ya plates? Mbona umewekeqa vizuri minimum plate za kuuza per day 150 kwa vendor mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…