kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,252
- 5,382
Yenu cummulative itafika 50m 2126. Ni kingereza hujaelewa watchman?Inaonekana hata kwenu kiingereza mmekariri. Ukiambiwa cumulative Ina maanisha Toka mmeanza huduma za sgr ndo mmefikisha hiyo 50mil tonnes.
Sasa unataka kuleta na comparison na tz ambao hizo 100,000 tonnes zilikuwa ni mizigo ya ndani bila kuwa na port link? Kumbuka mlikaaa mwaka mzima bila kutoa huduma ya mizigo mpaka mlipofanikiwa kuingiza reli bandarini , same kwa tz ambayo port link imeanza July ila kabla ya hapo ilikuwa ni loose cargo Toka kwa viwanda vya ndani.
π€£π€£π€£π€£ .
Same this tuje tufanye comparison ya December 2026 halafu tuje tu compare na nyinyi 2018 ambako kwa mwaka mzima mlisafirisha 900,000 mkiwa na link ya bandariπ€£π€£π€£π€£
the same way they are building a stadium that will turn to toilet after AFCONKila siku tunawaambia humu ndani kuwa hawana priorities kabisa; hawa nyangau they always place the cart ahead of the donkey in everything they do. What is needed first is to create employment and a conducive environment for business; then, as the number of employed people and businesses increases, the demand for housing and other consumer goods will increase organically.
izo hua znaanguka zenyewe zikichoka kusimamazile apatments wanatupigia kelele humu!
Wako sasa kwa nyasi ya mini stadium π«£π€£Waliacha kuongelea nyasi na viti vya Talanta ππ
View attachment 3638620View attachment 3638621
Straight outta CCM Ujamaa FM Radio π€£π€£π€£π€£As i told your slum mate. Take time to heal mtakua sawa bado hamjanuna zaidi stay tuned
People are willing to pay twice the amount because there's lack of those luxury apartments in the market (Dar). When a commodity/service is rare to find lazima ikuwe Tu expensive. In Tanzania that commodity availability is close to zero.Imagine pamoja na kuwa na kutokuwa na luxury apartments kama unavyosema ila watu wako willing kulipa twice the amount
Straight outta CCM Ujamaa FM Radio π€£π€£π€£π€£
Exactly. Same thing you notice in Kinshasa. Apartments are so expensive but the quality is wanting. You just pay expensively because of lack of options. In Nairobi, you're spoilt for choice.People are willing to pay twice the amount because there's lack of those luxury apartments in the market (Dar). When a commodity/service is rare to find lazima ikuwe Tu expensive. In Tanzania that commodity availability is close to zero.
Kwani hii mambo ya Demand and supply huelewi?πππ€£
you will be fine, take time and take a nice view from the slumsExactly. Same thing you notice in Kinshasa. Apartments are so expensive but the quality is wanting. You just pay expensively because of lack of options. In Nairobi, you're spoilt for choice.
And yet the value ya majengo kwa dar Iko juu kuliko Tanzania ikiwa na maana dar Ina majengo mengi au apartments nyingi sana kuliko Nairobi ( according to world bank report).People are willing to pay twice the amount because there's lack of those luxury apartments in the market (Dar). When a commodity/service is rare to find lazima ikuwe Tu expensive. In Tanzania that commodity availability is close to zero.
Kwani hii mambo ya Demand and supply huelewi?πππ€£
Buildings zenu hazina quality yoyote na ndo maana Kila siku majengo yanadondoka , 90 % ya nyumba zenu hata skimming nje hamfanyi sasa kuna quality gani?People are willing to pay twice the amount because there's lack of those luxury apartments in the market (Dar). When a commodity/service is rare to find lazima ikuwe Tu expensive. In Tanzania that commodity availability is close to zero.
Kwani hii mambo ya Demand and supply huelewi?πππ€£
Yenu cummulative itafika 50m 2126. Ni kingereza hujaelewa watchman?
Kenya first year 3.5 tonnes
Bongolala first year 100,000 tonnes.
That's the only data you need kueelewa. Gari Moshi Kenya is doing X30 numbers on the slowest electric railway in the world. π€£π€£
Yeah, according to world Bank report for 2016 released in 2017, that's 11 years ago. Mtakwamilia hiyo old report Hadi lini?πππ€£And yet the value ya majengo kwa dar Iko juu kuliko Tanzania ikiwa na maana dar Ina majengo mengi au apartments nyingi sana kuliko Nairobi ( according to world bank report).
So where is the demand for luxury apartments coming from? Remember Demand only come from what you don't have. You can't tell me that demand for your own houses is so high unless hujui maana ya demand πππ€£Hapo bado spending mentality ya watanzania humpendi kuishi kwenye nyumba zao wenyewe na sio apartments sababu ya privacy
Buda nyumba ambazo hata rangi na skimming nje hamfanyi Zina uzuri gani?Exactly. Same thing you notice in Kinshasa. Apartments are so expensive but the quality is wanting. You just pay expensively because of lack of options. In Nairobi, you're spoilt for choice.
So the topic has moved from demand to quality? What a typical Tanzanian mentality, always changes gear akishalemewa in an argument.Buildings zenu hazina quality yoyote na ndo maana Kila siku majengo yanadondoka , 90 % ya nyumba zenu hata skimming nje hamfanyi sasa kuna quality gani?
Umeona vile Jamaa ashabadilisha gear?π€£π€£πExactly. Same thing you notice in Kinshasa. Apartments are so expensive but the quality is wanting. You just pay expensively because of lack of options. In Nairobi, you're spoilt for choice.
Show us any luxury apartment in Nairobi with no paint. Maybe hujui maana ya luxury weweππBuda nyumba ambazo hata rangi na skimming nje hamfanyi Zina uzuri gani?
Hizo apartments usipopiga rangi tz hata wale wa uswazi hawakai?
Halafu quality ya buildings ambazo daily zinadondoka ? Ikiwa na maana ya vifaa vinachakachuliwa.