Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mambo ya kimkataba kati ya TRC, Muuzaji na Broker waliyemtumia. TRC walivunja mkataba na dalali wa Turkey mabehewa yamekwama Ujerumani locomotives 2 na behewa 24 out 30 bado hazijakuwa delivered
Any news kuhusu mstakabali wa huzo behewa?
 
Eee, hata hao hawaamini vile iko low quality Hadi wanasema ATI it's still under construction and that's why the floor and the walls are that ugly.
Leo hii wamejua mambo ya still under construction na juzi wamekuwa wakipost concrete surface ya Talanta wanasema low quality ukiwaambia haijapakwa rangi utakuwa unapigia mbuzi guitar.
 
Leo hii wamejua mambo ya still under construction na juzi wamekuwa wakipost concrete surface ya Talanta wanasema low quality ukiwaambia haijapakwa rangi utakuwa unapigia mbuzi guitar.
If you look keenly the interior finishing is at the advanced stage hata kuliko ya Talanta lakini sasa quality ndio iko chini.

Look at the wall😂😂

Leo hii wamejua mambo ya still under construction na juzi wamekuwa wakipost concrete surface ya Talanta wanasema low quality ukiwaambia haijapakwa rangi utakuwa unapigia mbuzi guitar.
Ila Talanta ni big ugly stadium. Huo ni ukweli
 
Hata ile mitaa yao ya kiswazi katikati ya mji wameshaanza kuibomoa na ku replace na makazi mazuri yaliyopangwa, kwakifupi Znz ya 5 - 10 years to come inaweza shindana na miji mikubwa EA bola kupepesa macho na italaza chali some of those.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…