Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya has one of the lowest fertility rates on Africa and one of the lowest birth rates in Africa. Kenya has one of the most effective family planning on Africa. Meanwhile , Tanzania has one of the hoghest. Population density has nothing to do with family planning and fertility rates in Africa Mr. AMARII the liker. Tanzania is more than 6 times larger than Japan with almost half the population yet Japan has such low birth rates that it's population has been shrinking for the last 30 years. You need a lesson in demographics. LAWD, you bongolalas literally need a lesson in everything.
 
Wewe heri unyamaze tu. Mlishashindwa kupenya ngome ya Alshabaab 🤣🤣
mm au wewe sasa wa kunyamaza, dont you know mnacheza na 3rd squad? au madame hujui what it means 3rd squad 😂 na bado mkashindwa kuwafunga
 

Watu wa mulembee mna shida ya ubishi ambao hauna tija.

Hivi kweli unaona ni sawa kwenye square km 2k kuwa na watu zaidi ya milioni moja? Kwa level ya maisha ya Kisumu ambako hakuna hata miundombinu muhimu tu? Hii ndio maana ya wengi wenu kwenda kwenye slums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…