Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,224
- 107,847
jana nimemwambia ivi, ningekua mm ni yeye saaahv ningekua nalia because the only client they have anaenda kutia saini sehem ingine 😂😂
View attachment 3635355
View attachment 3635356
meanwhile sisi uku tuna SADC nzima plus EAC
ingekua mm ni Nicxie ningelia sana, mtu anawateja boda nzima wewe una mteja mmoja na bado hakutaki 😂 😂Tunawapumulia kisogoni na bado hawashituki. Badala wawaze mambo yao wako kuhanaika na mambo ya watu.
Ndio shida ya kuishi kwenye maisha ya uongo uongo na propaganda kwenye ulimwengu wa kidigitalii... Intelligence service yao ndio kifo Cha mende hivyo ndembee ndembee.... Wamejiweka kwenye kupandikiza chuki tu saiv... On ground wameshalowaaa
mbna hujaona ule wa nje ya uwanja sasa, ni kichaka 😂Kwani ni shamba la mpunga.? 😂😂😂.. stakehigh View attachment 3635391
Typical Vumbistan, tukiongelea National team, mnaruka club football. Tukiongelea club football, mnaruka National team.Where r revenues for club matches?