Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

do 2 things
1) Lipia AI
2) Achana na mambo ya mpira kabisa yaani kaa nayo mbali, na mkiendelea soon uwanja mtajenga kwa $2B

and a bonus make sure you read to understand
View attachment 3635037
Sasa nionyeshe dressing rooms kwenye hiyo training ground ya Arusha.

Nionyeshe pia support facilities; showers, secure fencing, and ambulance access ndani ya hiyo training ground yenu
 
Sasa nionyeshe dressing rooms kwenye hiyo training ground ya Arusha.

Nionyeshe pia support facilities; showers, secure fencing, and ambulance access ndani ya hiyo training ground yenu
sio lazima uwe na zote hizo, but you must have a small playable environment pemben ya main stadium that has the SAME grass as the main stadium, kwa sababu nyie ni washamba you call it a stadium because zimewekwa siti but in modern standards its called a training ground, the same way you feel Nyayo is a stadium but in real ile ni training ground, tatizo lako ujuaje alafu mshamba
 
Make Google your friend kijana wa Tandale
huna uwezo wa kuweka hio reli umeme, huna power source hence its impossible to turn it electric and also electric trains hazikati kona kali, it must be straight , yenu imejengwa someplaces ni side ways, BTW your train speed haijawahi fika 120kmp because of this reason
 
Sio lazima uwe nazo zote na ni wewe ndio umeleta screenshot inayotaja hizo vitu kama vigezo vya training ground? Mbona unalamba matapishi yako Nyamwezi?
 
Sio lazima uwe nazo zote na ni wewe ndio umeleta screenshot inayotaja hizo vitu kama vigezo vya training ground? Mbona unalamba matapishi yako Nyamwezi?
acha kua fala nimekwambia sio lazima iwe na vyote, however what you call stadiums in modern leagues kama ya tanzania znaitwa cowsheds, the same way mnaisifia nyayo in AFCON thats a training ground, you know kenya always has low quality stuffs thats, the same way CHAN ndo world cup ya wakenya
 
Caretaker leta video ya hio slow speed electric sgr yenu ikivuta wagons. Najua ata kufikisha wagons kumi ni balaa πŸ˜‚πŸ˜‚

Tafuta WiFi uhesabu hizi.

https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/watch/?v=432908690571653

View: https://www.tiktok.com/@mohamedsalim786/video/7491377657033002245
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Eti wanataka tujifunze kutoka kwa Konza na Tatu. Failed projects
Wanafurahisha kweli. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Konza city ni project ka zile za akina Hamidu city Kigamboni. Even Avic town is much better than Konza empty fields.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…