Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona SA ana port and logistics infrastructure nzuri kwenye region hii lakini some of the imported cars destined for SA and most of Zimbabwe zinapitia Dar and Tanga ports hujiulizi competitive advantage ya Tz ports ni nini?
 
Hakuna any South African that uses Tanzanian port, tafuta watu WA kudanganya🤣😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…